Powered By Blogger

Tuesday, June 21, 2016

NJIA NZURI YA KUAGIZA GARI KUTOKA JAPAN KWA URAHISI ZAIDI

Kadri miaka inavyozidi kwenda ndio dunia inazidi kubadilika kutokana na zama za sasa za sayansi na teknolojia.Watu wananunua vifaa mbalimbali ili waweze kwenda sawa na dunia ya sasa. Basi leo nakuletea njia rahisi za kuweza kununua gari kutoka Japan na kukufikia Hapa Tanzania kwa urahisi zaidi na usalama zaidi. Kampuni iliyoko nchini Japani ya BE FORWARD ina njia rahisi kumuwezesha mnunuaji wa gari kuchagua aina ya gari anayotaka na kuweza kulipa garama zake na kupata taarifa zote wakati gari ikiwa iko njiani kuja Tanzania mpaka kumfikia.Tembelea ukarasa wa BE FORWARD ambao link yake iko chini kabisa kuchagua gari lako na kisha piga namba hii 0713922431 au email crispinmanyeresa@gmail.com kwa msaada zaidi haitohitajika pesa yoyote kutoka kwako kupewa msaada na maelekezo na kufuata taratibu hizi.Hapo chini ni kati ya gari zinazo pendwa zaidi Tanzania.cheki mwenyewe.Toyota kama kawaida.


HARRIER HYBRID
 ALTEZZA

 KULGER

 BREVIS

 IST

 MARK II GRANDE

 MARK  X

 NOAH NEW MODEL

 RAV 4

 PASSO

 RAUM

 CARINA

Friday, June 3, 2016

Hizi ndio Series kali kama bado hujawahi kuziangalia hujachelewa sana (Best Tv Series 2014-2016 crime scenes)

Alphas 2016
 Blindspot 2015
 Shades of Blue 2016
 Banshee 2014
 CSI: Cyber 2015
 Lucifer 2015
 Heroes Reborn 2015
 Scorpion 2015
 Sleepy Hollow 2014



Hii ndio faini kwa wale wote watakao funja sheria kwenye barabara za mwendo kasi

Meneja Uhusiano wa Dart William Gatambi kua amewasilisha maombi ya sheria ndogo ya faini ya Tsh 300,000 kwa yoyote atakaye vunja sheria kwa kutumia barabara ya mabasi ya haraka yan Dar es salam rapid transport (DART)