Kadri miaka inavyozidi kwenda ndio dunia inazidi kubadilika kutokana na zama za sasa za sayansi na teknolojia.Watu wananunua vifaa mbalimbali ili waweze kwenda sawa na dunia ya sasa. Basi leo nakuletea njia rahisi za kuweza kununua gari kutoka Japan na kukufikia Hapa Tanzania kwa urahisi zaidi na usalama zaidi. Kampuni iliyoko nchini Japani ya BE FORWARD ina njia rahisi kumuwezesha mnunuaji wa gari kuchagua aina ya gari anayotaka na kuweza kulipa garama zake na kupata taarifa zote wakati gari ikiwa iko njiani kuja Tanzania mpaka kumfikia.Tembelea ukarasa wa BE FORWARD ambao link yake iko chini kabisa kuchagua gari lako na kisha piga namba hii 0713922431 au email crispinmanyeresa@gmail.com kwa msaada zaidi haitohitajika pesa yoyote kutoka kwako kupewa msaada na maelekezo na kufuata taratibu hizi.Hapo chini ni kati ya gari zinazo pendwa zaidi Tanzania.cheki mwenyewe.Toyota kama kawaida.
HARRIER HYBRID
ALTEZZA
KULGER
BREVIS
IST
MARK II GRANDE
MARK X
NOAH NEW MODEL
RAV 4
PASSO
RAUM
CARINA













No comments:
Post a Comment