Hii ndio faini kwa wale wote watakao funja sheria kwenye barabara za mwendo kasi
Meneja Uhusiano wa Dart William Gatambi kua amewasilisha maombi ya sheria ndogo ya faini ya Tsh 300,000 kwa yoyote atakaye vunja sheria kwa kutumia barabara ya mabasi ya haraka yan Dar es salam rapid transport (DART)
No comments:
Post a Comment